Surat Al-Waqi'ah, aya 48

56:48

أَوَءَابَآؤُنَا ٱلۡأَوَّلُونَ ٤٨

Awa'ābā'unal-awwalūn

Au baba zetu wa zamani? 48

Maelezo ya chini

48 Ati tutafufuliwa sisi na baba zetu wa zamani walio kwisha kuwa udongo ulio tapanyika na umepotea katika ardhi?