فِي سَمُومٖ وَحَمِيمٖ ٤٢
Fī samūmin wahamīm
Katika upepo wa moto, na maji yanayo chemka, 42
Maelezo ya chini
42 Watakuwa kwenye upepo umoto utakao wazunguka, unao penya katika tundu za mwili, na maji yaliyo chemshwa motoni wayanywe na wamiminiwe vichwani,