وَلَقَدۡ يَسَّرۡنَا ٱلۡقُرۡءَانَ لِلذِّكۡرِ فَهَلۡ مِن مُّدَّكِرٖ ٤٠
Walaqad yassarnal-qur'āna lidh-dhikri fahal mim muddakir
Na hakika tumeisahilisha Qur'ani kuikumbuka. Lakini yupo anaye kumbuka? 40
Maelezo ya chini
40 Na hakika tumeifanya Qur'ani ni sahali kwa ajili ya mawaidha na mazingatio. Je! Yupo anaye waidhika?