Surat Al-Qamar, aya 39

54:39

فَذُوقُواْ عَذَابِي وَنُذُرِ ٣٩

Fadhūqū 'adhābī wanudhur

Basi onjeni adhabu na maonyo yangu!< 39

Maelezo ya chini

39 Wakaambiwa: Igugumieni adhabu yangu na maonyo yangu!