فَكَيۡفَ كَانَ عَذَابِي وَنُذُرِ ٣٠
Fakayfa kāna 'adhābī wanudhur
Basi ilikuwaje adhabu yangu na maonyo yangu! 30
Maelezo ya chini
30 Basi vipi ilikuwa adhabu yangu na onyo langu kwa hao wakhalifu walio kwenda kinyume na amri.