Surat Al-Qalam, aya 41

68:41

أَمۡ لَهُمۡ شُرَكَآءُ فَلۡيَأۡتُواْ بِشُرَكَآئِهِمۡ إِن كَانُواْ صَٰدِقِينَ ٤١

Am lahum shurakā'u falya'tū bishurakā'ihim in kānū sādiqīn

Au wanao washirika? Basi wawalete washirika wao wakiwa wanasema kweli. 41

Maelezo ya chini

41 Kwani wanao wanao shirikiana nao, na wanao fuata mwendo wao katika kauli yao hii? Basi na wawalete hao washirika wao, ikiwa wao ni wasema kweli katika madai yao.