سَلۡهُمۡ أَيُّهُم بِذَٰلِكَ زَعِيمٌ ٤٠
Salhum ayyuhum bidhālika za'īm
Waulize: Ni nani miongoni mwao dhamini wa haya? 40
Maelezo ya chini
40 Ewe Muhammad! Waulize washirikina: Ni nani dhamini wa hukumu hiyo?
سَلۡهُمۡ أَيُّهُم بِذَٰلِكَ زَعِيمٌ ٤٠
Salhum ayyuhum bidhālika za'īm
Waulize: Ni nani miongoni mwao dhamini wa haya? 40
40 Ewe Muhammad! Waulize washirikina: Ni nani dhamini wa hukumu hiyo?