Surat Al-Qalam, aya 35

68:35

أَفَنَجۡعَلُ ٱلۡمُسۡلِمِينَ كَٱلۡمُجۡرِمِينَ ٣٥

Afanaj'alul-muslimīna kal-mujrimīn

Kwani tutawafanya Waislamu kama wakosefu? 35

Maelezo ya chini

35 Je! Sisi tudhulumu katika hukumu yetu, tuwafanye Waislamu sawa na makafiri?