إِنَّ لِلۡمُتَّقِينَ عِندَ رَبِّهِمۡ جَنَّٰتِ ٱلنَّعِيمِ ٣٤
Inna lil-muttaqīna 'inda rabbihim jannātin-na'īm
Hakika wachamngu watakuwa na Bustani za neema kwa Mola wao Mlezi. 34
Maelezo ya chini
34 Hakika wachamngu watapata kwa Mola wao Mlezi Bustani za neema safi.