Surat Al-Qalam, aya 19

68:19

فَطَافَ عَلَيۡهَا طَآئِفٞ مِّن رَّبِّكَ وَهُمۡ نَآئِمُونَ ١٩

Fatāfa 'alayhā tā'ifum mir rabbika wahum nā'imūn

Basi lilitokea tukio juu yake kutoka kwa Mola wako Mlezi, nao wamelala! 19

Maelezo ya chini

19 Basi ikaliteremkia shamba hilo balaa kubwa ilio toka kwa Mola wako Mlezi, na hali wao wamelala.