Surat Al-Qalam, aya 18

68:18

وَلَا يَسۡتَثۡنُونَ ١٨

Walā yastathnūn

Wala hawakusema: Mungu akipenda! 18

Maelezo ya chini

18 Wala wasimkumbuke Mwenyezi Mungu, wakafunganisha hilo jambo lao na kupenda kwake.