Surat Al-Qadr, aya 3

97:3

لَيۡلَةُ ٱلۡقَدۡرِ خَيۡرٞ مِّنۡ أَلۡفِ شَهۡرٖ ٣

Laylatul-qadri khayrum min alfi shahr

Laylatul Qadri ni bora kuliko miezi elfu. 3

Maelezo ya chini

3 Usiku wa Qadr na Sharaf, Cheo na Utukufu, ni bora kuliko miezi elfu, kwa kuwa umekhusika kwa kuteremka ndani yake Qur'ani tukufu.