إِنَّمَا تُوعَدُونَ لَوَٰقِعٞ ٧
Innamā tū'adūna lawāqi'
Hakika mnayo ahidiwa bila ya shaka yatakuwa! 7
Maelezo ya chini
7 Hakika haya mliyo ahidiwa ya kuja Kiyama kwa yakini yatatimia tu bila ya shaka yoyote.