كُلُواْ وَٱشۡرَبُواْ هَنِيٓـَٔۢا بِمَا كُنتُمۡ تَعۡمَلُونَ ٤٣
Kulū washrabū hanī'ā bimā kuntum ta'malūn
Kuleni na kunyweni kwa furaha kwa yale mliyo kuwa mkiyatenda. 43
Maelezo ya chini
43 Wataambiwa kwa kuamkiwa na kukirimiwa: Kuleni na mnywe chakula na vinywaji kwa starehe kwa sababu ya vitendo vyema mlivyo kuwa mkivitenda duniani.