إِنَّ ٱلۡمُتَّقِينَ فِي ظِلَٰلٖ وَعُيُونٖ ٤١
Innal-muttaqīna fī zilālin wa'uyūn
Hakika wachamngu watakuwa katika vivuli na chemchem, 41
Maelezo ya chini
41 Hakika wachamngu wenye kujikinga na adhabu ya Mwenyezi Mungu watakuwa katika kivuli kikubwa, na chemchem zinazo miminika,