Surat Al-Mursalat, aya 25

77:25

أَلَمۡ نَجۡعَلِ ٱلۡأَرۡضَ كِفَاتًا ٢٥

Alam naj'alil-arda kifātā

Kwani hatukuifanya ardhi yenye kukusanya 25

Maelezo ya chini

25 Kwani hatukuifanya ardhi kuwa imekusanya juu ya mgongo wake