أَلَمۡ نَخۡلُقكُّم مِّن مَّآءٖ مَّهِينٖ ٢٠
Alam nakhlukkum mim mā'im mahīn
Kwani hatukukuumbeni kwa maji ya kudharauliwa? 20
Maelezo ya chini
20 Kwani hatukukuumbeni kutokana na maji yaliyo dhalili, nayo ni manii,