Surat Al-Mursalat, aya 15

77:15

وَيۡلٞ يَوۡمَئِذٖ لِّلۡمُكَذِّبِينَ ١٥

Waylun yawma'idhil lil-mukaddhibīn

Ole wao, siku hiyo hao wanao kanusha! 15

Maelezo ya chini

15 Ni maangamio ya milele siku hiyo kwa hao wanao kadhibisha walio waahidi Mitume!