Surat Al-Mu'minun, aya 94

23:94

رَبِّ فَلَا تَجۡعَلۡنِي فِي ٱلۡقَوۡمِ ٱلظَّٰلِمِينَ ٩٤

Rabbi falā taj'alnī fil-qawmiz-zālimīn

Mola wangu Mlezi! Usinijaalie katika watu madhaalimu hao. 94

Maelezo ya chini

94 Basi nakuomba usinifanye mwenye kuadhibiwa pamoja na makafiri waasi.