Surat Al-Mu'minun, aya 54

23:54

فَذَرۡهُمۡ فِي غَمۡرَتِهِمۡ حَتَّىٰ حِينٍ ٥٤

Fadharhum fī ghamratihim hattā hīn

Basi waache katika ghafla yao kwa muda. 54

Maelezo ya chini

54 Basi, ewe Muhammad, waachilie mbali makafiri na ujinga wao na kughafilika kwao, maadamu wewe umekwisha wanasihi, mpaka Mwenyezi Mungu awahukumie adhabu baadae.