Surat Al-Mu'minun, aya 49

23:49

وَلَقَدۡ ءَاتَيۡنَا مُوسَى ٱلۡكِتَٰبَ لَعَلَّهُمۡ يَهۡتَدُونَ ٤٩

Walaqad ātaynā mūsal-kitāba la'allahum yahtadūn

Na hakika tulimpa Musa Kitabu ili wapate kuongoka. 49

Maelezo ya chini

49 Na hakika tulimfunulia Musa Taurati apate kuwaongoa watu wake kwa yaliyomo ndani yake ya uwongozi kwendea hukumu na njia za mafanikio.