Surat Al-Mu'minun, aya 48

23:48

فَكَذَّبُوهُمَا فَكَانُواْ مِنَ ٱلۡمُهۡلَكِينَ ٤٨

Fakaddhabūhumā fakānū minal-muhlakīn

Basi wakawakanusha, na wakawa miongoni mwa walio angamizwa. 48

Maelezo ya chini

48 Basi waliwafanya waongo katika huo wito wao, na wakawa wenye kuhiliki kwa kuzamishwa.