Surat Al-Mu'minun, aya 46

23:46

إِلَىٰ فِرۡعَوۡنَ وَمَلَإِيْهِۦ فَٱسۡتَكۡبَرُواْ وَكَانُواْ قَوۡمًا عَالِينَ ٤٦

Ilā fir'awna wamala'ihī fastakbarū wakānū qawman 'ālīn

Kumwendea Firauni na wakuu wake. Lakini walijivuna, nao walikuwa watu majeuri. 46

Maelezo ya chini

46 Tuliwatuma wawili hao kwa Firauni na kaumu yake. Wakakataa kuamini kwa ajili ya takaburi, na wao ni watu walio kuwa wakisifika kwa kiburi, na majivuno, na ujeuri.