Surat Al-Mu'minun, aya 42

23:42

ثُمَّ أَنشَأۡنَا مِنۢ بَعۡدِهِمۡ قُرُونًا ءَاخَرِينَ ٤٢

Thumma ansha'nā mim ba'dihim qurūnan ākharīn

Kisha tukaleta baada yao vizazi vingine. 42

Maelezo ya chini

42 Kisha baada yao tukawaumba kaumu nyengine wasio kuwa wao, kama kaumu ya Swaleh na ya Luut'i na ya Shuaib.