Surat Al-Mu'minun, aya 43

23:43

مَا تَسۡبِقُ مِنۡ أُمَّةٍ أَجَلَهَا وَمَا يَسۡتَـٔۡخِرُونَ ٤٣

Mā tasbiqu min ummatin ajalahā wamā yasta'khirūn

Hapana umma uwezao kutanguliza ajali yake wala kuikawiza. 43

Maelezo ya chini

43 Kila umma una zama zake maalumu, hazitangulii wala hazikawii.