قَالَ رَبِّ ٱنصُرۡنِي بِمَا كَذَّبُونِ ٣٩
Qāla rabbinsurnī bimā kaddhabūn
Akasema: Mola wangu Mlezi! Ninusuru kwa sababu wananikanusha. 39
Maelezo ya chini
39 Huud akasema baada ya kwisha kata tamaa kuamini kwao: Ewe Mola wangu Mlezi! Ninusuru na uwatie adabu, kwa sababu ya kuukadhibisha wito wangu.