Surat Al-Mu'minun, aya 40

23:40

قَالَ عَمَّا قَلِيلٖ لَّيُصۡبِحُنَّ نَٰدِمِينَ ٤٠

Qāla 'ammā qalīlil layusbihunna nādimīn

(Mwenyezi Mungu) akasema: Baada ya muda mchache watakuwa wenye kujuta. 40

Maelezo ya chini

40 Mwenyezi Mungu akamwambia Huud kuzidi kutilia nguvu ahadi yake: Baada ya muda mchache watakuja juta, kwa waliyo yafanya, itapo wateremkia adhabu.