Surat Al-Mu'minun, aya 16

23:16

ثُمَّ إِنَّكُمۡ يَوۡمَ ٱلۡقِيَٰمَةِ تُبۡعَثُونَ ١٦

Thumma innakum yawmal-qiyāmati tub'athūn

Kisha hakika nyinyi Siku ya Kiyama mtafufuliwa. 16

Maelezo ya chini

16 Na kisha nyinyi mtafufuliwa Siku ya Kiyama kwa ajili ya kuhisabiwa na kulipwa jaza yenu.