ثُمَّ إِنَّكُم بَعۡدَ ذَٰلِكَ لَمَيِّتُونَ ١٥
Thumma innakum ba'da dhālika lamayyitūn
Kisha hakika nyinyi baada ya hayo mtakufa. 15
Maelezo ya chini
15 Kisha hakika nyinyi wanaadamu baada ya haya mambo yenu tuliyo yataja ni wenye kuyaendea mauti bila ya shaka yoyote.