Surat Al-Mu'minun, aya 106

23:106

قَالُواْ رَبَّنَا غَلَبَتۡ عَلَيۡنَا شِقۡوَتُنَا وَكُنَّا قَوۡمٗا ضَآلِّينَ ١٠٦

Qālū rabbanā ghalabat 'alaynā shiqwatunā wakunnā qawman dāllīn

Mola wetu Mlezi! Tulizidiwa na uovu wetu na tukawa watu tulio potea. 106

Maelezo ya chini

106 Watasema nao wanakiri makosa yao : Ewe Mola wetu Mlezi! Maasi yetu yalikuwa mengi, ndio yakatupatia mashaka, na tukawa wenye kupotea tukaiacha njia ya sawa.