قَدۡ أَفۡلَحَ ٱلۡمُؤۡمِنُونَ ١
Qad aflahal-mu'minūn
HAKIKA wamefanikiwa Waumini! 1
Maelezo ya chini
1 Kumethibiti kufanikiwa kwa Waumini wanao muamini Mwenyezi Mungu na waliyo kuja nayo Mitume; na wamefuzu kwa wayatakayo.