Surat Al-Mulk, aya 24

67:24

قُلۡ هُوَ ٱلَّذِي ذَرَأَكُمۡ فِي ٱلۡأَرۡضِ وَإِلَيۡهِ تُحۡشَرُونَ ٢٤

Qul huwal-ladhī dhara'akum fil-ardi wa ilayhi tuhsharūn

Sema: Yeye ndiye aliye kutawanyeni katika ardhi, na kwake mtakusanywa. 24

Maelezo ya chini

24 Sema: Huyo ndiye aliye kutawanyeni katika ardhi, na kwake Yeye peke yake ndio mtarejea kwa ajili ya kukuhisabuni na kukulipeni.