وَيَقُولُونَ مَتَىٰ هَٰذَا ٱلۡوَعۡدُ إِن كُنتُمۡ صَٰدِقِينَ ٢٥
Wayaqūlūna matā hādhal-wa'du in kuntum sādiqīn
Na wanasema: Lini ahadi hii, ikiwa mnasema kweli? 25
Maelezo ya chini
25 Na wanasema wanao kanya kufufuliwa: Yatatokea lini haya ya kukusanywa watu? Twambieni yatakuwa lini, kama nyinyi mnasema kweli!