Surat Al-Ma'idah, aya 65

5:65

وَلَوۡ أَنَّ أَهۡلَ ٱلۡكِتَٰبِ ءَامَنُواْ وَٱتَّقَوۡاْ لَكَفَّرۡنَا عَنۡهُمۡ سَيِّـَٔاتِهِمۡ وَلَأَدۡخَلۡنَٰهُمۡ جَنَّٰتِ ٱلنَّعِيمِ ٦٥

Walaw anna ahlal-kitābi āmanū wattaqaw lakaffarnā 'anhum sayyi'ātihim wala'adkhalnāhum jannātin-na'īm

Na lau kuwa Watu wa Kitabu wangeli amini na wakachamungu hapana shaka tungeli wafutia makosa yao, na tungeli waingiza katika Bustani zenye neema. 65

Maelezo ya chini

65 Na lau kuwa Watu wa Kitabu, yaani Mayahudi na Wakristo, wangeli uamini Uislamu na Nabii wake, na wakaacha madhambi tuliyo yataja, tungeli wafutia makosa yao, na tungeli watia katika Bustani (Pepo) za neema, wakastarehe humo.