Surat Al-Ma'idah, aya 61

5:61

وَإِذَا جَآءُوكُمۡ قَالُوٓاْ ءَامَنَّا وَقَد دَّخَلُواْ بِٱلۡكُفۡرِ وَهُمۡ قَدۡ خَرَجُواْ بِهِۦۚ وَٱللَّهُ أَعۡلَمُ بِمَا كَانُواْ يَكۡتُمُونَ ٦١

Wa idhā jā'ūkum qālū āmannā waqad dakhalū bil-kufri wahum qad kharajū bihī wallāhu a'lamu bimā kānū yaktumūn

Na wanapo kujieni husema: Tumeamini. Lakini hakika wao wameingia na ukafiri wao, na wametoka nao pia. Na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi kabisa wa yote wanayo yaficha. 61

Maelezo ya chini

61 Wanaafiki wakikujia husema uwongo, na hukwambia: Tumeamini. Nao wamekuingilia na hali ni makafiri, na wametoka kwenu nao ni makafiri vile vile! Na Mwenyezi Mungu anaujua vyema unaafiki wanao uficha. Na Yeye ndiye atakaye waadhibu.