Surat Al-Ma'idah, aya 37

5:37

يُرِيدُونَ أَن يَخۡرُجُواْ مِنَ ٱلنَّارِ وَمَا هُم بِخَٰرِجِينَ مِنۡهَاۖ وَلَهُمۡ عَذَابٞ مُّقِيمٞ ٣٧

Yurīdūna an yakhrujū minan-nāri wamā hum bikhārijīna minhā walahum 'adhābum muqīm

Watataka watoke Motoni, lakini hawatatoka humo, na watakuwa na adhabu inayo dumu. 37

Maelezo ya chini

37 Hawa makafiri wanatamani kutoka Motoni, na wala hawatatoka humo. Watapata adhabu ya daima dawamu.