فَطَوَّعَتۡ لَهُۥ نَفۡسُهُۥ قَتۡلَ أَخِيهِ فَقَتَلَهُۥ فَأَصۡبَحَ مِنَ ٱلۡخَٰسِرِينَ ٣٠
Fatawwa'at lahū nafsuhū qatla akhīhi faqatalahū fa asbaha minal-khāsirīn
Basi nafsi yake ikampelekea kumuuwa nduguye, akamuuwa na akawa miongoni mwa wenye kukhasirika. 30
Maelezo ya chini
30 Basi nafsi yake ilimsahilishia kukhalifiana na maumbile, kumuuwa nduguye, akamuuwa. Kwa hivyo akawa kwa mujibu wa hukumu ya Mwenyezi Mungu miongoni mwa walio khasiri, kwa kuwa ameipoteza imani yake na amempoteza nduguye.