كَذَٰلِكَۖ وَقَدۡ أَحَطۡنَا بِمَا لَدَيۡهِ خُبۡرٗا ٩١
Kadhālika waqad ahatnā bimā ladayhi khubrā
Ndio hivyo hivyo. Na Sisi tulizijua vilivyo khabari zake zote. 91
Maelezo ya chini
91 Na kama Dhul-Qarnaini alivyo waita watu wa magharibi waje kuamini basi kadhaalika aliwaita hawa, na akenda nao mwendo ule ule wake wa mwanzo.