ثُمَّ أَتۡبَعَ سَبَبًا ٩٢
Thumma atba'a sababā
Kisha akaifuata njia. 92
Maelezo ya chini
92 Kisha akaendelea vile vile akitumia mbinu alizo msahilishia Mwenyezi Mungu za kumpa tawfiki, akishika njia baina ya mashariki na magharibi.