Surat Al-Kahf, aya 85

18:85

فَأَتۡبَعَ سَبَبًا ٨٥

Fa atba'a sababā

Basi akaifuata njia. 85

Maelezo ya chini

85 Kwa kutumia njia hizo aliweza kueneza madaraka yake katika ardhi, na akafuata njia mpaka akafika huko magharibi kunako kuchwa jua.