قَالَ إِنَّكَ لَن تَسۡتَطِيعَ مَعِيَ صَبۡرٗا ٦٧
Qāla innaka lan tastatī'a ma'iya sabrā
Akasema: Hakika wewe hutaweza kuvumilia kuwa pamoja nami. 67
Maelezo ya chini
67 Akamwambia hutaweza kustahamili kufuatana nami.