Surat Al-Kahf, aya 41

18:41

أَوۡ يُصۡبِحَ مَآؤُهَا غَوۡرٗا فَلَن تَسۡتَطِيعَ لَهُۥ طَلَبٗا ٤١

Aw yusbiha mā'uhā ghawran falan tastatī'a lahū talabā

Au maji yake yakadidimia wala usiweze kuyagundua. 41

Maelezo ya chini

41 Au maji yake yakazama katika ardhi, yasipatikane, wala usiweze kuyachota kwa kumwagia katika shamba.