مَنۡ عَمِلَ صَٰلِحٗا فَلِنَفۡسِهِۦۖ وَمَنۡ أَسَآءَ فَعَلَيۡهَاۖ ثُمَّ إِلَىٰ رَبِّكُمۡ تُرۡجَعُونَ ١٥
Man 'amila sālihan falinafsihī waman asā'a fa'alayhā thumma ilā rabbikum turja'ūn
Mwenye kutenda mema basi ni kwa ajili ya nafsi yake, na mwenye kutenda uovu ni juu yake mwenyewe. Kisha mtarudishwa kwa Mola wenu Mlezi. 15
Maelezo ya chini
15 Mwenye kutenda mema atapata ujira wake na thawabu mwenyewe; na mwenye kutenda uovu basi dhambi za kitendo chake zitamuangukia mwenyewe. Kisha mtarudishwa kwa Muumba wenu kwa ajili ya malipo.