كُلُّ ذَٰلِكَ كَانَ سَيِّئُهُۥ عِندَ رَبِّكَ مَكۡرُوهٗا ٣٨
Kullu dhālika kāna sayyi'uhū 'inda rabbika makrūhā
Haya yote ubaya wake ni wenye kuchukiza kwa Mola wako Mlezi. 38
Maelezo ya chini
38 Yote hayo yaliyo tajwa katika mausio ni mambo mabaya yaliyo katazwa na yanayo chusha na kuchukiza kwa Mola wako Mlezi.