وَلَا تَقۡتُلُوٓاْ أَوۡلَٰدَكُمۡ خَشۡيَةَ إِمۡلَٰقٖۖ نَّحۡنُ نَرۡزُقُهُمۡ وَإِيَّاكُمۡۚ إِنَّ قَتۡلَهُمۡ كَانَ خِطۡـٔٗا كَبِيرٗا ٣١
Walā taqtulū awlādakum khashyata imlāqin nahnu narzuquhum wa iyyākum inna qatlahum kāna khit'an kabīrā
Wala msiwauwe wana wenu kwa kuogopa umasikini. Sisi tunawaruzuku wao na nyinyi. Hakika kuwaua hao ni khatia kubwa. 31
Maelezo ya chini
31 Ikiwa yaliyo khusiana na riziki yamo mikononi mwa Mwenyezi Mungu, basi haikufaliini kuwauwa watoto wenu kwa kukhofu ufakiri utao weza kutokea. Kwani Sisi ni Wenye kudhamini riziki zao na riziki zenu. Hakika kuwauwa hao ni dhambi kubwa.