ٱقۡرَأۡ كِتَٰبَكَ كَفَىٰ بِنَفۡسِكَ ٱلۡيَوۡمَ عَلَيۡكَ حَسِيبٗا ١٤
Iqra' kitābaka kafā binafsikal-yawma 'alayka hasībā
Ataambiwa: Soma kitabu chako! Nafsi yako inakutosha leo kukuhisabu. 14
Maelezo ya chini
14 Ataambiwa: Soma kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu, ijapo kuwa duniani alikuwa hajui kusoma. Soma kitabu cha a'mali zako. Hicho leo kinatosha kukuhisabia na kukudhibitia vitendo vyako.