إِنَّا نَحۡنُ نَزَّلۡنَا عَلَيۡكَ ٱلۡقُرۡءَانَ تَنزِيلٗا ٢٣
Innā nahnu nazzalnā 'alaykal-qur'āna tanzīlā
Hakika Sisi tumekuteremshia Qur'ani kidogo kidogo. 23
Maelezo ya chini
23 Hakika Sisi, kwa rehema yetu na hikima yetu, tumekuteremshia wewe Qur'ani kwa njia ya kukutuza moyo wako, na uweze daima kuihifadhi, basi huto isahau kabisa.