Surat Al-Insan, aya 22

76:22

إِنَّ هَٰذَا كَانَ لَكُمۡ جَزَآءٗ وَكَانَ سَعۡيُكُم مَّشۡكُورًا ٢٢

Inna hādhā kāna lakum jazā'an wakāna sa'yukum mashkūrā

Hakika haya ni malipo yenu; na juhudi zenu zimekubaliwa. 22

Maelezo ya chini

22 Hakika neema hizi ameziandaa kwa kukulipeni kwa vitendo vyenu. Na hizo juhudi zenu duniani ni zenye kusifika kwa Mwenyezi Mungu, na zinampendeza, na zimekubaliwa.