وَإِذَا رَأَيۡتَ ثَمَّ رَأَيۡتَ نَعِيمٗا وَمُلۡكٗا كَبِيرًا ٢٠
Wa idhā ra'ayta thamma ra'ayta na'īman wamulkan kabīrā
Na utakapo yaona, utakuwa umeona neema na ufalme mkubwa. 20
Maelezo ya chini
20 Na ukitazama popote katika hiyo Pepo utaona neema kubwa, na ufalme ulio tanda.