Surat Al-Insan, aya 18

76:18

عَيۡنٗا فِيهَا تُسَمَّىٰ سَلۡسَبِيلٗا ١٨

'Aynan fīhā tusammā salsabīlā

Hiyo ni chemchem iliyo humo inaitwa Salsabil. 18

Maelezo ya chini

18 Hiyo ni kutokana na chemchem ya Peponi inayo itwa Salsabil, kwa sababu ya wepesi wa unywaji wake na uzuri wake.